Propellerads

Pedro anajiandaa kuondoka Barca, habari njema kwa Man United




Nyota wa FC Barcelona, Pedro anatarajiwa kuaga klabuni hapo kesho
usiku Nou Camp kwenye mechi ya kujiandaa na msimu mpya dhidi ya Roma.

Winga huyo wa Hispania ana makubaliano na Manchester United ambapo anaweza kusaini mkataba wa miaka minne sambamba na miezi 12 ya nyongeza kama akitaka kuongeza.

United wametoa ofa ya dau la pauni 20mil na wana imani kubwa kumpata nyota huyo na anaweza kua mtazamaji kwenye mechi ya kwanza ya Red Devils dhidi ya Tottenham Jumamosi ijayo.
Pedro anajiandaa kuondoka Barca, habari njema kwa Man United Pedro anajiandaa kuondoka Barca, habari njema kwa Man United Reviewed by Steve on Tuesday, August 04, 2015 Rating: 5

No comments:

Propellerads
Powered by Blogger.