Awadh Juma amewapa ahadi wana Simba msimu huu, soma hapa alichokisema
Baada ya kufunga goli jana kwenye mechi dhidi ya SC Villa siku ya Simba day, nyota wa
Simba, Awadh juma amewaahidi utamu mashabiki wote wa wekundu hao msimu huu, Awadh ameyasema hayo wakati akifanya mahojiano na mtandao mmoja maarufu, na haya ndiyo aliyoyasema
"Tunamuomba Mungu kwanza atupe afya njema, kila mtu awe na afya njema mpaka ifike muda wa ligi kila mtu awe mzima kwasababu kila mtu anakiu ya kuwapa wana Simba kile wanachotaka kikubwa ni ushindi na mafanikio lakini wanasimba kwa muda mrefu wamekuwa wanasubiri kombe sio kitu kingine, sio nafasi ya pili ama yatatu na mwaka huu tunajipanga tuwape hiyo zawadi wanayoitaka kwa kuchukua ubingwa."
Awadh Juma amewapa ahadi wana Simba msimu huu, soma hapa alichokisema
Reviewed by Steve
on
Sunday, August 09, 2015
Rating:
Reviewed by Steve
on
Sunday, August 09, 2015
Rating:

No comments:
Post a Comment