Arsenal wameanza vibaya msimu huu mpya wa ligi ya Barclays ambapo
wamekubali kipigo cha mabao 2-0 kutoka kwa West ham, magoli hayo yamefungwa na C. Kouyaté 43', na M. Zárate 57' hpa nimekuwekea picha baadhi katika pambano hilo,
Arsenal wakubali kwa West Ham, angalia hapa mkusanyiko wa picha
Reviewed by Steve
on
Sunday, August 09, 2015
Rating: 5
No comments:
Post a Comment