Van Gaal aeleza mfumo utakaotumiwa na Man United msimu huu.
Meneja wa Man United, Louis van Gaal amefunguka kua amekusudia kutumia
mfumo wa 4-3-3 kwa msimu huu unaotarajiwa kuanza.
Red devils walijaribu jutumia mfumo wa 4-2-3-1 katika kipindi cha ziara Marekani, lakini van Gaal alipoulizwa mfumo gani rasmi atatumia akasema 4-3-3 itakua ni chaguo lake.
"Zaidi au chini 4-3-3. Tayari tulishautumia msimu uliopita, katika kipindi cha pili cha msimu, na ndio mfumo ambao ndio nitatumia." Mholanzi huyo aliiambia tovuti rasmi ya Manchester United.
United watakutana na Tottenham katika mechi ya kwanza Premier League.
Van Gaal aeleza mfumo utakaotumiwa na Man United msimu huu.
Reviewed by Steve
on
Friday, July 31, 2015
Rating:
Reviewed by Steve
on
Friday, July 31, 2015
Rating:

No comments:
Post a Comment