Propellerads

Unamkumbuka Uhuru Suleiman!!....hii ndio klabu yake mpya kwa sasa




Kiungo mshambuliaji wa Simba SC, Uhuru Suleiman Mwambungu amejiunga
na Jomo Cosmos ya Afrika Kusini kwa ajili ya msimu ujao wa Ligi Kuu ya Afrika Kusini (ABSA) akiwa huru.

Msimu uliopita Uhuru aliichezea Mwadui FC kwa mkopo akitokea Simba na kuisaidia kupanda kucheza ligi kuu msimu ujao.

Nyota huyo na wachezaji wengine sita walitambulishwa juzi kwenye mkutano na waandishi wa habari na mwenyekiti na kocha wa klabu hiyo, Jomo Sono.

Wakati huohuo timu ya Polisi Tabora iliyopo Daraja la Kwanza Bara imekamilisha usajili wa wachezaji Benedict Ngassa, Ahmed
Unamkumbuka Uhuru Suleiman!!....hii ndio klabu yake mpya kwa sasa Unamkumbuka Uhuru Suleiman!!....hii ndio klabu yake mpya kwa sasa Reviewed by Steve on Saturday, July 18, 2015 Rating: 5
Propellerads
Powered by Blogger.