Mechi ya Man United na Club America, cheki baadhi ya picha
Morgan Schneiderlin, Memphis Depay, Matteo Darmian na Bastian Schweinsteiger wote wamecheza mechi yao ya
kwanza Manchester United ikishinda goli 1-0 dhidi ya Club America katika mechi ya kwanza ya michuano ya International Champions Cup iliyopigwa asubuhi hii uwanja wa Seattle, Marekani.
Schneiderlin ndiye amefunga goli pekee la ushindi dakika 5 tu ya kipindi cha kwanza akimalizia krosi ya Juan Mata.
Mechi ya Man United na Club America, cheki baadhi ya picha
Reviewed by Steve
on
Saturday, July 18, 2015
Rating:
Reviewed by Steve
on
Saturday, July 18, 2015
Rating:
















