Man United kumnasa Muller.
Habari kubwa imeripotiwa na mwandishi Christian Falk kuwa, klabu ya Manchester United imetenga dau la
Euro milioni 160 kwa ajili ya kumnasa mshambuliaji wa Bayern Munich Thomas Muller.
Kwa mujibu wa ripoti hiyo, Man United imetoa ofa hiyo kwa Muller kwa ajili ya kumsajili na kumpa mkataba wa miaka mitano kuitumikia klabu hiyo ya Old Trafford. Mashetani wekundu wameweka kitita hicho cha Euro milioni 160 ikiwa ni ada ya uhamisho pamoja na mshahara wa mchezaji huyo.
Man United kumnasa Muller.
Reviewed by Steve
on
Wednesday, July 01, 2015
Rating:
Reviewed by Steve
on
Wednesday, July 01, 2015
Rating:
