Unawajua nyota waliopata kukipiga Arsena na Chelsea kotekote!!....wajue hapa
Kufuatia kusajiliwa kwa kipa mkongwe wa Chelsea Petr Cech kwenda Arsenal jumatatu hii kwa dau la pauni mil. 14, leo nakuletea
jambo abalo inawezekana ukawa hulifahamu kuhusu vilabu hivi viwili, ni orodha ya nyota ambao wamepata kukipiga kotekote, arsenal na Chelsea.
1.Ashley Cole
Alijiunga Chelsea mwaka 2006 akitokea Arsenal, kitendo hiki kilimfanya achukiwe sana na mashabiki wa Arsenal, alipata mafanikio makubwa katika vilabu vyote.
Pages: 1 2 3 4
jambo abalo inawezekana ukawa hulifahamu kuhusu vilabu hivi viwili, ni orodha ya nyota ambao wamepata kukipiga kotekote, arsenal na Chelsea.
1.Ashley Cole
Alijiunga Chelsea mwaka 2006 akitokea Arsenal, kitendo hiki kilimfanya achukiwe sana na mashabiki wa Arsenal, alipata mafanikio makubwa katika vilabu vyote.
Pages: 1 2 3 4
Unawajua nyota waliopata kukipiga Arsena na Chelsea kotekote!!....wajue hapa
Reviewed by Steve
on
Wednesday, July 01, 2015
Rating:
Reviewed by Steve
on
Wednesday, July 01, 2015
Rating: