Kocha Kerry atoa onyo kwa wavivu Simba.
Kocha Mkuu wa Simba, Dylan Kerr amesema wachezaji wenye asili ya uvivu watapata
tabu sana kufanya kazi naye.
tabu sana kufanya kazi naye.
SOMA: NGOMA AFUNGUKA YA MOYONI YANGA
Kocha huyo raia wa Uingereza, amesema mara nyingi amekuwa na urafiki wa karibu na watu wachapakazi.
"Kama ni mvivu, utapata matatizo makubwa sana. Kuwa mvivu ni kujiangusha kimaendeleo," alisema Kerr.
Kocha huyo alionyesha mfano kweli yeye si mvivu baada ya siku ya kwanza tu kwenye Uwanja wa TCC Chang'ombe kutimua mbio na wachezaji waliokuwa wakizunguka uwanja.
Kocha huyo Mwingereza amechukua nafasi ya Goran Kopunpvic raia wa Serbia aliyetaka kupewa Sh milioni 100 ili kusaini mkataba wa miaka miwili.
Kocha Kerry atoa onyo kwa wavivu Simba.
Reviewed by Steve
on
Thursday, July 02, 2015
Rating:
Reviewed by Steve
on
Thursday, July 02, 2015
Rating:
