Kama hukucheki picha Man United walivyotua Marekani, na ratiba kamili
Kama inavyoripotiwa Man United kwa sasa wapo Marekani kwa Tour ya kabla ya msimu mpya kuanza, hapa ni baadhi ya
picha walivyotua Marekani na ratiba kamili watakapokua huko
United vs San Jose Earthquakes, Jumanne, Julai 21, Avaya Stadium, San Jose
United vs Barcelona, Date: Jumamosi, 25 July, Levi's Stadium, Santa Clara
United vs Paris Saint-Germain, Jumatano, Julai 29, Soldier Field, Chicago
Kama hukucheki picha Man United walivyotua Marekani, na ratiba kamili
Reviewed by Steve
on
Tuesday, July 14, 2015
Rating:
Reviewed by Steve
on
Tuesday, July 14, 2015
Rating:



