Tetesi: Malinzi kuachia ngazi kesho Jumatatu mchana.
, Malinzi ana mpango wa kutangaza kujivua madaraka kesho mchana huku ikidaiwa kutoka chanzo cha karibu kutoka kwa raisi huyo ni sababu Malinzi amechoshwa na kashfa na tuhuma lukuki anazozipata yeye kutokana na kocha aliyetimuliwa Nooj, pia madai ya kuendekeza ukabila na visasi.
Ngoja tungoje hiyo kesho kama kweli haya yatatokea, macho yetu na masikio viwe tayari tu!!
Tetesi: Malinzi kuachia ngazi kesho Jumatatu mchana.
Reviewed by Steve
on
Sunday, June 21, 2015
Rating:
Reviewed by Steve
on
Sunday, June 21, 2015
Rating:
