Propellerads

Ripoti: Ribery afikiria kustaafu soka.




Kiungo wa Bayern Munich, Frank Ribery, anadaiwa kufikiria kutaka kustaafu soka kutokana na
jeraha la muda mrefu katika kifundo cha mguu.

Mfaransa huyo alionekana katika michezo 15 pekee ya Bundesliga msimu uliopita, na amekosa jumla ya michezo 79 ya ligi tangu ajiunge Bayern mwaka 2007.

Kwa mujibu wa L'Equipe ,mchezaji huyo mwenye miaka 32 kwa sasa anafikiria hatma yake ya baadae baada ya kipindi kigumu msimu uliopita, ingawa wakala wake amenukuliwa na jarida hilo akidai Ribery hana natumaini ya kurejea.

Ribery alikamata nafasi ya tatu katika kura za tuzo za Ballon d'Or msimu wa 2013/14.
Ripoti: Ribery afikiria kustaafu soka. Ripoti: Ribery afikiria kustaafu soka. Reviewed by Steve on Friday, June 26, 2015 Rating: 5
Propellerads
Powered by Blogger.