Pamoja na kutochukua kikombe chochote msimu huu....cheki rekodi ya Man United!!
Pamoja na kutochukua kombe lolote, Manchester United sasa inashika namba moja kwa kuwa
nembo ghali au maarufu zaidi kuliko zote duniani katika soka.
nembo ghali au maarufu zaidi kuliko zote duniani katika soka.
Nembo ya Manchester United imeshika namba moja ikiipiku ile ya Bayern Munich iliyokuwa ikishika chati ya juu kwa zaidi ya miaka miwili sasa.
Real Madrid iko katika nafasi ya tatu, huku Chelsea na Manchester City zinashika nne na tano na kuiacha Juventus ikiporomoka nafasi mbili licha ya kuingia fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya.
Katika listi ya nembo ghali au yenye thamani ya juu kwa klabu 50 za soka iliyotolewa na wataalamu wa masoko, inaonekana Man United imepanda baada aya kufikisha thamani ya dola bilioni 1.2, ikiwa ni zaidi ya dola milioni 300 zaidi ya Bayern inayoshika nafasi ya pili.
Pamoja na kutochukua kikombe chochote msimu huu....cheki rekodi ya Man United!!
Reviewed by Steve
on
Monday, June 08, 2015
Rating:
Reviewed by Steve
on
Monday, June 08, 2015
Rating:

