Propellerads

Cheki beki mpya wa Barca hapa...

Siku mbili tu baada ya kutwaa ubingwa wa Ulaya, Barcelona imeendelea na usajili baada ya kumnasa beki
Aleix Vidal kutoka Sevilla.



Sevilla ambao ni mabingwa wa Europa, wamekubali kumuachia beki huyo mwenye miaka 25, hata hivyo atalazimika kusubiri hadi Januari, mwakani kuichezea timu yake mpya.

Barcelona bado inatumikia adhabu ya Fifa ya usajili hadi mwakani. Hivyo Vidal atakuwa pamoja na timu hiyo, lakini ataonekana uwanjani na Barcelona, mwakani.



Cheki beki mpya wa Barca hapa... Cheki beki mpya wa Barca hapa... Reviewed by Steve on Monday, June 08, 2015 Rating: 5
Propellerads
Powered by Blogger.