Propellerads

Mwaikimba atua kwa 'wajeda'




Timu ya JKT Ruvu imefanikiwa kumsajili mshambuliaji Gaudence Mwaikimba ambaye alitemwa na timu yake ya
Azam FC mara baada ya mkataba wake kumalizika kwenye kikosi hicho baada ya kumalizika kwa ligi kuu msimu uliopita wa 2014/2015.



Mbali na Mwaikimba, JKT Ruvu imemnasa pia mshambuliaji wa Mbeya City Saad Kipanga ambaye amemwaga wino kukitumikia kikosi hicho cha maafande wa Jeshi la Kujenga Taifa chenye maskani yake maeneo ya Mlandizi, mkoani Pwani.
Mwaikimba atua kwa 'wajeda' Mwaikimba atua kwa 'wajeda' Reviewed by Steve on Wednesday, June 17, 2015 Rating: 5
Propellerads
Powered by Blogger.