Aguero aiwezesha Arjentina kushinda.
Goli lililofungwa katika dakika za mwanzo za kipindi cha pili nae mkali Sergio Aguero, limeipa
ushindi muhimu timu ya taifa ya Arjentina mbele ya Uruguay.
Aguero alifunga goli hilo kwa kichwa katika dakika ya 56, hii imewaweka Argentina nafasi ya kwanza katika kundi B wakilingana na Paraguay ambao nao waliwachapa Jamaica 1-0 mapema jana, wakifuatiwa na Uruguay wenye point tatu, Jamaica wako mkiani wakiwa na pointi sifuri.
Aguero aiwezesha Arjentina kushinda.
Reviewed by Steve
on
Wednesday, June 17, 2015
Rating:
Reviewed by Steve
on
Wednesday, June 17, 2015
Rating:





