Man United hatimaye wamemnasa mkali huyu.
Usajili ndio mpango mzima hivi sasa huko Ulaya. Manchester united imewashinda Bayern Munich na Barcelona kwenye vita ya
kupata saini ya mchezaji wa Borussia Dortmund.
Mchezaji huyo ambae anacheza sehemu ya midfield amesakubaliana mambo ya msingi na Manchester united. Gundogan anatarajiwa kutangazwa na Manchester united kuwa mchezaji mpya wa club hiyo.
Man United hatimaye wamemnasa mkali huyu.
Reviewed by Steve
on
Wednesday, June 03, 2015
Rating:
Reviewed by Steve
on
Wednesday, June 03, 2015
Rating:
