Propellerads

Unaijua klabu iyoingiza mpunga mwingi EPL 2014-15!!....cheki hapa

Takwimu mpya zimetoka zikionyesha club gani imeingiza  kiasi gani kwa msimu uliopita wa 2014/2015.Mpangilio wa table ya ligi haujalishi
kwenye swala la kuingiza pesa nyingi. Mfano Manchester united kwenye ligi imekua ya nne lakini kwneye listi ya kuingiza pesa nyingi imekua ya tatu. Liverpool kwenye ligi imekua ya sita lakini kwenye msimamo wa kuingiza pesa imekua ya tano.
Pesa hizi zimetokana haki ya matangazo kwenye TV mbalimbali, Chelsea imeongoza na kuweka rekodi ya £98,999,554.


Unaijua klabu iyoingiza mpunga mwingi EPL 2014-15!!....cheki hapa Unaijua klabu iyoingiza mpunga mwingi EPL 2014-15!!....cheki hapa Reviewed by Steve on Wednesday, June 03, 2015 Rating: 5
Propellerads
Powered by Blogger.