Benitez kocha mpya Real Madrid
Rafael Benitz, yule kocha aliyeipa Liverpool ubingwa wa Ulaya, ametua Real Madrid, sasa ndiye kocha mkuu kwa kuwa anachukua nafasi ya Carlo Ancelotti.
Benitez aliwahi kuwa kocha wa timu ya vijana ya Madrid, sasa amerejea kama kocha wa timu kubwa na kusaini mkataba ambao utamuwezesha kuingoza klabu hiyo inayotaka kombe kila mwaka.
Benitez kocha mpya Real Madrid
Reviewed by Steve
on
Wednesday, June 03, 2015
Rating:
Reviewed by Steve
on
Wednesday, June 03, 2015
Rating:


