Propellerads

Arsenal nao wamfukuzia mkali huyu.



Hakuna timu ambayo ipo nyuma kupata wachezaji wazuri kwa ajili ya msimu ujao. Ukikaa nyuma muda wa
usajili maisha hayatakua mazuri muda wa msimu ujao.
Arsenal inakomaa kumpata mchezaji Kondogbia ambae pia anatakiwa na Inter milan. Mchezaji huyu anamilikiwa na Monaco na wanakomaa kwa kutaka ada ya €35 million (£25.4m). Harakati zinaendelea ili Arsenal waweze kumpata mchezaji huyu. Ni wakati tu utasema, yetu macho.
Arsenal nao wamfukuzia mkali huyu. Arsenal nao wamfukuzia mkali huyu. Reviewed by Steve on Thursday, June 04, 2015 Rating: 5
Propellerads
Powered by Blogger.