Falcao anatarajiwa kutua katika timu hii EPL.....ingia hapa
Kama ilivyoripotiwa hapo mwanzoni kwamba mama yake Falcao alisema kwamba mwanae hana furaha ndani ya
Manchester united. Kwa hiyo lazima alikua anatarajiwa kuondoka Old Trafford baada ya msimu kuisha.
Habari ikufikie kwamba ndani ya siku chache zijazo Falcao anatarajiwa kutangaza kwamba atajiunga na Chelsea F.C. ambapo anaenda kujaribu kucheza tena ligi ya uingereza akiwa na timu nyingine.
Falcao anatarajiwa kutua katika timu hii EPL.....ingia hapa
Reviewed by Steve
on
Thursday, June 04, 2015
Rating:
Reviewed by Steve
on
Thursday, June 04, 2015
Rating:
