Propellerads

Girlfriend wa Jerome Boateng hataki Man United.




Rafiki wa kike wa nyota Jerome Boateng anadaiwa hataki uhamisho wa nyota huyo kutoka Bayern Munich kwenda
Man United.

Boateng amekua na mabingwa hao wa Bundesliga kwa msimu wa nne sasa baada ya kujiunga akitokea Manchester City.

Kwa sasa anahusishwa na kuhamia Man United, lakini kwa mujibu wa Daily Star, mpenzi wake anayeitwa Sherlin Senler hataki kurudi tena jiji la Manchester, kwani mwanzo hakufurahia kukaa jiji hilo.

Boateng amefanikiwa kuchukua mataji matatu ya Bundesliga katika kipindi alichoichezea Bayern.
Girlfriend wa Jerome Boateng hataki Man United. Girlfriend wa Jerome Boateng hataki Man United. Reviewed by Steve on Sunday, June 21, 2015 Rating: 5
Propellerads
Powered by Blogger.