Propellerads

Simba na Isihaka wafikia hapa

 
                            
Hassan Isihaka
 
Simba imefanikiwa kuongeza mkataba wa miaka mitatu na nahodha wake Hassan Isihaka.

Isihaka ambaye awali alielezwa kukataa kusaini akitaka apewe dau kubwa, jana amesaini mkataba huo mbele ya Rais wa Simba, Evans Aveva.


Kamati ya usajili ya Simba chini ya Mwenyekiti Zacharia Hans Poppe na Kassim Dewji ‘Gwiji’ ndiyo ilisimamia zoezi zima la usajili.
Simba na Isihaka wafikia hapa Simba na Isihaka wafikia hapa Reviewed by Steve on Saturday, May 23, 2015 Rating: 5
Propellerads
Powered by Blogger.