Propellerads

Hatma ya Ancelloti Real Madrid.

                                                 
                                                     


Real Madrid imevunja mkataba na kocha wake Carlo Ancelotti baada ya kuinoa kwa miaka miwili.
Katika msimu wake wa kwanza Bernabeu, Ancelotti alishinda ligi ya mabingwa, Copa del Rey,  Uefa Super Cup na kombe la klabu bingwa  ya FIFA duniani.
Ancelotti ameshindwa kushinda medali msimu huu na kumaliza pointi mbili nyuma ya mabingwa FC Barcelona.
Kocha wa Napoli, Rafael Benitez anapewa nafasi kubwa ya kuchukua mikoba ya Ancelotti.
Rais wa Real Madrid, Florentino Perez amethibitisha kufukuzwa kwa Carlo na anatarajia kutangaza mrithi wake juma lijalo.
Hatma ya Ancelloti Real Madrid. Hatma ya Ancelloti Real Madrid. Reviewed by Steve on Tuesday, May 26, 2015 Rating: 5
Propellerads
Powered by Blogger.