Propellerads

Di Maria alivyopamba headlines Ufaransa

 
 
 
Gazeti la kila siku la Ufaransa la L’Equipe leo limebeba Headline ya stori inayowagusa mashabiki wa Manchester United.
Kwa mujibu wa ripoti, muda wa Angel di Maria  kukaa Man United unaelekea kufikia tamati ambapo PSG wanataka kumsajili nyota huyo wa Argentina majira ya kiangazi mwaka huu.
L’Equipe wanaripoti kwamba PSG wanahitaji mshambuliaji anayetokea pembeni, hivyo wanaamini Di Maria anafaa kabisa.
Sehemu ya stori  inayovutia ni kwamba PSG wanaweza kujaribu kumujumuisha katika dili hilo beki wao wa Kulia, Mholanzi, Gregory Van der Wiel.
Inaaminika kuwa Man United wanahitaji beki wa kulia majira ya kiangazi na  Vander Wiel anaweza kuwashawishi kumuuza  Di Maria kwa PSG.
Di Maria alivyopamba headlines Ufaransa Di Maria alivyopamba headlines Ufaransa Reviewed by Steve on Monday, May 25, 2015 Rating: 5
Propellerads
Powered by Blogger.