Mshahara mpya wa Ndemla baada ya kusaini Simba
Wekundu wa Msimbazi, Simba
wameanza harakati za kuwabakisha nyota wake waliomaliza mikataba baada
ya jioni ya leo kumsainisha mkataba wa miaka
mitatu (3) kiungo wake mchezeshaji, Said Ndemla.
mitatu (3) kiungo wake mchezeshaji, Said Ndemla.
Ndemla amesaini mkataba huo
mbele ya Rais wa Simba, Evans Aveva wenye thamani ya shilingi milioni 40
za Kitanzania jumlisha gari aina ya IST.
Nyota huyo zao la Simba B atakuwa analipwa mshahara wa milioni mbili (2) kwa mwezi.
Mshahara mpya wa Ndemla baada ya kusaini Simba
Reviewed by Steve
on
Monday, May 25, 2015
Rating:
Reviewed by Steve
on
Monday, May 25, 2015
Rating:
