Propellerads

Coutinho ambwaga Sterling





Philippe Coutinho ameachaguliwa kuwa mchezaji bora wa mwaka kwa msimu huu katika klabu ya Liverpool  Jumanne.
Coutinho (22), amefunga magoli matano na kutoa pasi za tano za magoli katika michezo 34 ya ligi aliyocheza msimu huu, huku akimshinda Rahim Sterling, Martin Skrtel, Jordan Henderson na Simon Mignolet katika tuzo hiyo.
“Hiki ni kitu maalumu sana kwangu, pia ina maana kubwa sana kuipokea kutoka kwa Gerrard, sina zaidi cha kuongeza bali ninatoa shukrani zangu za dhati kwa wachezaji wenzangu wote kwa mchango wao,” alisema kiungo huyo mahiri.
Coutinho ambwaga Sterling Coutinho ambwaga Sterling Reviewed by Steve on Thursday, May 21, 2015 Rating: 5
Propellerads
Powered by Blogger.