Beki wa Azam amwaga wino Simba.
Simba imefanikiwa kumnasa beki wa kushoto wa Azam FC, Samir Hajji Nuhu na kumsainisha
mkataba jijini Dar es Salaam, jana usiku.
mkataba jijini Dar es Salaam, jana usiku.
mtandao mmoja umeripoti kwamba Beki huyo amesaini mkataba wa kuichezea Simba kwa mwaka mmoja.
Beki huyo aliyewahi kuichezea Taifa Stars amesaini mkataba huo mbele ya mjumbe wa kamati ya usajili ya Simba, Collins Frisch.
Beki wa Azam amwaga wino Simba.
Reviewed by Steve
on
Thursday, May 28, 2015
Rating:
Reviewed by Steve
on
Thursday, May 28, 2015
Rating:
