Propellerads

Hazard amfananisha Kante na 'panya'



Nyota wa Ubelgiji, Eden Hazard  amemfananisha mmoja wa wana kikosi
wenzake Chelsea na panya.

Hazard amemfananisha mchezaji aliyetokea Leicester City, N'Golo Kante aina yake ya uchezaji kama panya kutokana na kua na nguvu nyingi.

"Anatupa ujasiri," aliiambia Chelsea TV.

"Tunataka kupiga chenga na kuwapita wapinzani kwa hiyo ikitokea tumepoteza mpira, yeye yupo nyuma yetu anachukua mpira.

"Ni mchezaji mzuri. Ni kama panya, anaenda popote na ana akili nyingi na amepanda juu.

"Daima inapendeza kucheza na wachezaji waliopanda hewani."
Hazard amfananisha Kante na 'panya' Hazard amfananisha Kante na 'panya' Reviewed by Steve on Friday, September 02, 2016 Rating: 5

No comments:

Propellerads
Powered by Blogger.