Propellerads

Mourinho kumpatia Zlatan mapumziko zaidi



Meneja wa Manchester United ameweka wazi kwamba atampatia muda wa ziada
wa mapumziko Zlatani Ibrahimovic kuelekea mchezo dhidi ya Man City Jumamosi ijayo.

Ibrahimovic hachezei timu yake ya taifa kwa sasa baada ya kutangaza kustaafu baada ya Euro 2016 mapema mwaka huu, na sasa Mourinho atampatia mapumziko kama wachezaji wengine watavyopumzika.

"Nimewapa wengine ambao hawakuchaguliwa timu za taifa siku mbili za kupumzika, na nitatoa siku nne kwa Zlatan. Miaka 34 unahitaji kupumzika," aliuambia mtandao rasmi wa klabu.


Mourinho kumpatia Zlatan mapumziko zaidi Mourinho kumpatia Zlatan mapumziko zaidi Reviewed by Steve on Friday, September 02, 2016 Rating: 5

No comments:

Propellerads
Powered by Blogger.