Propellerads

Pogba afunguka nyota 7 waliompa hamasa



Nyota wa Man United aliyesajiliwa kwa pesa iliyovunja rekodi, Paul Pogba ameweka wazi ni nyota gani saba ikiwemo mmoja mwafrika ambao walimpa hamasa zaidi wakati anakua.

Nyota huyo aliichezea Man United kwa mara ya kwanza waliposhinda kwa 2-0 dhidi ya Southampton Ijumaa usiku.

Pogba ambaye alicheza dakika zote 90, alionekana anajiamini kabisa dhidi ya wapinzani wao, hivi karibuni aliongea na Thiery Henry kwa urefu zaidi ambapo alimtaja Yaya Toure kama miongoni mwa nyota waliomvutia.

"Wachezaji wengi kama Ronaldinho, Mbrazil Ronaldo, Kaka, (Zinedine) Zidane, Iniesta, Yaya Toure, Vieira," Alisema kama Sky Sports walivyomnukuu.

"Nimejaribu kuchukua vitu vingi kwao na kimtengeneza Pogba."


Pogba afunguka nyota 7 waliompa hamasa Pogba afunguka nyota 7 waliompa hamasa Reviewed by Steve on Tuesday, August 23, 2016 Rating: 5

No comments:

Propellerads
Powered by Blogger.