Propellerads

Barca wafanya makubaliano na nyota Mholanzi



Wakali wa Hispania, Barcelona wameripotiwa kufanya makubaliano
ya Euro mil 13 kwa nyota wa Uholanzi.

Kwa mujibu wa chapisho moja a Hispania, AS wana Blaugrana wameshafanya makubaliano na Ajax Amsterdam kwa mlinda mlango Casper Cillessen ambapo atasaini mkataba wa miaka mitano.
Barca wafanya makubaliano na nyota Mholanzi Barca wafanya makubaliano na nyota Mholanzi Reviewed by Steve on Monday, August 22, 2016 Rating: 5

No comments:

Propellerads
Powered by Blogger.