AC Milan waikataa ofa ya Chelsea
AC Milan wameikataa ofa ya pauni milioni 30 kutoka Chelsea kwa
ajili ya beki Alessio Romagnoli, hii ni kwa mujibu wa ripoti.
Kuikua na taarifa kua Blues wamehamishia macho yao kwa beki huyo mwenye miaka 21 baada ya ofa zao kadhaa kwa Kalidou Koulibaly wa Napoli kukataliwa.
Hata hivyo, AC Milan hawapo tayari kumuuza mchezaji huyo wa U-21 Italia wakiwa wamemsajili kwa pauni mil 21 msimu uliopita akitokea Roma.
Sky Italia wameripoti kua wakali hao wa Serie A wameikataa ofa ya Chelsea na kuwaambia kua Romagnoli hauzwi.
Chelsea pia wamehusishwa na beki wa Torino, Nikola Maksimovic.
AC Milan waikataa ofa ya Chelsea
Reviewed by Steve
on
Tuesday, August 23, 2016
Rating:
Reviewed by Steve
on
Tuesday, August 23, 2016
Rating:




No comments:
Post a Comment