Propellerads

Kali za magazetini Jumanne hii



-Joe Hart amepewa ushauri na Sam Allardyce aondoke
Man City kuokoa kipaji chake.
-Arsenal wamefanya maombi ya kushtukiza kwa ajili ya kumwinda beki wa Monaco, Marcel Tisserand.
-Mabosi wa Major League Soccer (MLS) wapo tayari kutoa dola za kutosha kwa nahodha wa England, Wayne Rooney kama akiamua kuondoka Man United.
-West Ham wanamtaka mshambuliaji wa Man City Wilfried Bonny kwa mkopo.
-Manchester United wanataka kurusha karata yao kumnasa kinda wa kiskochi Matthew Knox kutoka Livingston.
-Chelsea sasa macho yao yapo kwa beki wa Torino, Nikola Maksimovic baada ya Napoli kukataa ofa yao ya pauni mil 30 kwa Kalidou Koulibaly.
-Liverpool wanataka kumuuza Mamadou Sakho kwa mkopo msimu huu ikiwa ni mpango wa kutaka kumrudisha katika kiwango chake.
Kali za magazetini Jumanne hii Kali za magazetini Jumanne hii Reviewed by Steve on Tuesday, August 23, 2016 Rating: 5

No comments:

Propellerads
Powered by Blogger.