Nyota 8 ambao kufikia msimu ujao watakua huru kabisa
Kuna baadhi ya nyota wa Premier League ambao wanatarajia kuongeza mikataba yao
majira haya, lakini hapa tunakuletea nyota 8 ambao hawataongeza mkataba wowote hivyo kua huru kabisa msimu huu ukimalizika.
Daily Star wamechambua majina ya nyota kutoka vilabu vya EPL ambao msimu ujao watakua huru, kuna baadhi ya majina ya wakubwa tu!
Katika kikosi cha Pep Guardiola, Manchester City kuna majina ya nyota watatu ambao mikataba yao itamalizika msimu huu mwishoni: Yaya Toure, Fernandinho na beki wa kulia Pablo Zabaleta.
Hii hapa orodha kamili:
1.Branislav Ivanovic- Chelsea
2.Yaya Toure- Manchester City
3.Santi Cazorla- Arsenal
4.Pablo Zabaleta- Manchester City
5.John Obi Mikel- Chelsea
6.Antonio Valencia- Manchester United
7. Saido Berahino- West Bromwich Albion
8.Fernandinho- Manchester City
Nyota 8 ambao kufikia msimu ujao watakua huru kabisa
Reviewed by Steve
on
Saturday, August 27, 2016
Rating:
Reviewed by Steve
on
Saturday, August 27, 2016
Rating:












No comments:
Post a Comment