Propellerads

Mourinho kuchuana na Chelsea kwa nyota Mbrazil



Imeripotiwa Chelsea wameingia katika kinyang'anyiro na Man United
kwa ajili ya nyota mbrazil ikiwa ni dakika za mwisho kuelekea kufungwa dirisha la usajili.

Beki wa kushoto wa Monaco, Fabinho amekuwa akiwindwa na Mourinho kwa miezi kadhaa sasa, lakini kwa mujibu wa L'Equipe, Chelsea pia wanamtaka mchezaji huyo.

Inadaiwa Blues wapo tayari kutoa kiasi cha pauni mil 25 kwa mchezaji huyo.
Mourinho kuchuana na Chelsea kwa nyota Mbrazil Mourinho kuchuana na Chelsea kwa nyota Mbrazil Reviewed by Steve on Monday, August 29, 2016 Rating: 5

No comments:

Propellerads
Powered by Blogger.