Propellerads

Manchester United hawataki kuwauzia Arsenal mchezaji huyu, kisa pia kipo hapa



Manchester United wameripotiwa kua hawapo tayari kumuuza
beki Phil Jones kwa Arsenal.

Bosi wa Red Devils, Jose Mourinho hataki kufanya biashara na Arsene Wenger kutokana na uhasama wao wa muda mrefu sasa, hii ni kwa mujibu wa London Evening Standard.

Ndege mbaya anatajwa kuwepo kati ya Mourinho na Wenger tangu kocha huyo akiinoa Chelsea baada ya kujikuta wakiingia katika vita vya maneno.

Gunners hivi karibuni wameonekana kutaka kumsajili Jones baada ya kumkosa mara ya kwanza baada ya United kumchukua kutoka Blackburn Rovers mwaka 2011.
Manchester United hawataki kuwauzia Arsenal mchezaji huyu, kisa pia kipo hapa Manchester United hawataki kuwauzia Arsenal mchezaji huyu, kisa pia kipo hapa Reviewed by Steve on Thursday, August 25, 2016 Rating: 5

No comments:

Propellerads
Powered by Blogger.