Balotelli katika mazungumzo ya mkopo na klabu hii
Mwenyekiti wa klabu ya FC Sion, Christian Costantin amefichua
kwamba wapo katika mazungumzo ya mkopo kwa nyota wa Liverpool, Mario Balotelli.
Wakala wa mchezaji huyo, Mino Raiola ameripotiwa kupata ofa kadhaa kwa mteja wake ikiwemo ya Manchester United lakini sasa Sion wanaonekana kua na nafasi kubwa.
Costantin aliiambia Ticinonews "Ninaweza kuthibitisha tunafanya majadiliano kuhusu uwezekano wa mkopo wa Balotelli, tunaendelea lakini bado siwezi kusema kwamba huu mkopo utafanikiwa au hapana."
Baloteli amefunga goi moja pekee la Premier league tangu awasili Liverpool.
Balotelli katika mazungumzo ya mkopo na klabu hii
Reviewed by Steve
on
Thursday, August 25, 2016
Rating:
Reviewed by Steve
on
Thursday, August 25, 2016
Rating:




No comments:
Post a Comment