Gianluigi Buffon amtabiria makubwa Pogba, anatarajia atafikia uwezo wa mkongwe wa Real Madrid
Mlinda mlango wa Juventus, Gianluigi Buffon amedai kua mchezaji mpya wa Man United, Paul Pogba anaweza
kua mchezaji mkubwa ulimwenguni huku akimfananisha na mkongwe wa Real Madrid, Zinedine Zidane.
Kipa huyo wa kimataifa kutoka Italia ambaye amepata kucheza na Zidane na pia Pogba klabuni Juventus, anaamini nyota huyo amekua bora zaidi tangu aipowasili kama kinda mwaka 2012.
Buffon aliiambia Sky Sports "[Pogba] ni kama mwanajeshi uwanjani pia ana kipaji kikubwa.
"Contro yake katika mpira na jinsi anavyoweza kuubadilika kimchezo kutoka ulinzi hadi kushambulia ni special- sisi kumpoteza imetuuma sana.
"Sio rahisi kumfananisha na wakongwe waliopita lakini anafanana sana kimchezo na Michel Platini na Zinedine Zidane."
Gianluigi Buffon amtabiria makubwa Pogba, anatarajia atafikia uwezo wa mkongwe wa Real Madrid
Reviewed by Steve
on
Monday, August 22, 2016
Rating:
Reviewed by Steve
on
Monday, August 22, 2016
Rating:




No comments:
Post a Comment