Kikosi cha Taifa Stars kiliendelea na mazoezi yake jana na leo pia kitafanya mara mbili kwa siku chini ya Kocha Charles Boniface Mkwasa. Stars inafanya mazoezi katika eneo la Woodmid jijini Johannesburg, Afrika Kusini kujiandaa na mechi yake dhidi ya Algeria, Novemba 14.
No comments:
Post a Comment