Matokeo mechi zote za EPL jana
Simba vs Mbeya City
Jijini Mbeya Simba SC imefanikiwa kuvunja mwiko kwa timu
ya Mbeya City baada ya kuifunga timun hiyo kwa goli 1-0 kwenye mchezo uliopigwa kwenye uwanja wa kumbukumbu ya Sokoine.
Goli la Simba limefungwa na Juuko Murshid dakika ya tatu kipindi cha kwanza baada ya kutokea piga-nikupige kwanye lango la Mbeya City.
Majimaji vs African Sports
Kwenye uwanja wa Majimaji mjini Songea, timu ya Majimaji imefanikiwa kushinda ikiwa kwenye uwanja wa nyumbani kwa kuifunga timu ya African Sports kwa goli 1-0 goli lililofungwa na Hassan Hamisi dakika ya 82 kipindi cha pili.
Ndanda FC vs Toto Africans
Toto Africans ikiwa ugenini imeambulia pointi moja baada ya kulazimishwa sare ya bila kufungana na dhidi ya wenyeji wa mchezo huo Ndanda FC mchezo uliochezwa kwenye uwanja wa Nagwanda Sijaona mjini Mtwara.
Stand United vs Tanzania Prisons
Timu ya Stand United ‘Chama la Wana’ imeendelea kujiongezea pointi kufuatia ushindi wa leo wa goli 3-0 mbele ya Tanzania Prisons mchezo uliofanyika kwenye uwanja wa Kambarage mkoani Shinyanga.
Coastal Union vs Mtibwa Sugar
Mtibwa Sugar imechomoza na ushindi wa goli 1-0 dhidi ya Coastal Union kwenye uwanja wa Mkwakwani. Timu ya Coastal Union bado haijafunga goli hata moja tangu kuanza kwa ligi kuu Tanzania bara msimu huu.

Reviewed by Steve
on
Sunday, October 18, 2015
Rating:

No comments:
Post a Comment