Propellerads

Manuel Neuer wa Bayern Munich azungumzia goli la kwanza la Arsenal



              

Mlinda mlango wa Bayern Munich, Manuer Neuer ameamua
kujitwisha zigo la lawama kwa goli la kwanza la Arsenal baada ya klabu yake kupoteza kwa 2-0 jana usiku kwenye mechi ya klabu bingwa.

Ingawa kipa huyo mjerumani amekubali kua ilikua ni kosa lake kwa goli la Olivier Giroud, lakini anaamini mechi ile ilipaswa kuisha kwa sare.

"Kimsingi, nilicheza vizuri. Lakini lilikua ni kosa langu kubwa lililowapelekea Arsenal kupata goli la kwanza. Nadhani sare ndio ingekua matokeo sahihi zaidi.," BBC walimnukuu kama alivyosema.

Mesut Ozil aliongeza bao la pili katika dakika ya 90 na mwisho mechi kumalizika wakiwa na ushindi kwa mara ya kwanza.
Manuel Neuer wa Bayern Munich azungumzia goli la kwanza la Arsenal Manuel Neuer wa Bayern Munich azungumzia goli la kwanza la Arsenal Reviewed by Steve on Wednesday, October 21, 2015 Rating: 5

No comments:

Propellerads
Powered by Blogger.