Propellerads

Majabvi na hatma ya mkataba wake Msimbazi, huu ndio msimamo wake


                           

Kiungo Mzimbabwe wa Simba, Justice Majabvi, ametamka kuwa
hajui hatima yake ndani ya timu hiyo licha ya kwamba mkataba wake umebakiza miezi miwili tu.

Majabvi ambaye amekuwa akicheza kwenye kikosi cha kwanza, amesema alisaini mkataba wa miezi sita ambao unafikia tamati Desemba, mwaka huu.

Majabvi amesema: “Mkataba wangu unaelekea mwisho, nimebakiza miezi miwili lakini sijui kinachoendelea kwa kuwa viongozi wapo kimya, hawajaniambia kama nitaendelea kuwepo hapa au nitaondoka.”

Majabvi na hatma ya mkataba wake Msimbazi, huu ndio msimamo wake Majabvi na hatma ya mkataba wake Msimbazi, huu ndio msimamo wake Reviewed by Steve on Friday, October 30, 2015 Rating: 5

No comments:

Propellerads
Powered by Blogger.