Propellerads

Luke Shaw ajibu tuhuma za ushoga, asema hivi



                                                           
Beki wa kushoto wa Manchester United, Luke Shaw ameibuka na kukanusha
tetesi kua ni miongoni mwa wachezaji wawili wa Premier League wanaosadikika kujihusisha na mapenzi ya jinsia moja (ushoga).

Tetesi zilizopo ni kua wawili hao, akiwemo mchezaji mwingine wa kimataifa wa England- watajitangaza baadae kuhuhusu suala hilo, lakini Shaw amekataa kua sio miongoni kupitia mtandao wa twitter ameandika ujumbe unaosomeka "sio mimi, kwa hiyo kila mtu kimya sasa"
Aliandika ujumbe huo baada ya klabu yake ku tweet kukanusha swala hilo na kumuunga mkono

The idiocy of these Luke Shaw rumours & he's not even gay! And so what if he is? He's a United player and we support him

Mwaka 1990, Justin Fashanu alifichua kua yeye ni shoga, lakini hakuna mchezaji yeyote kutoka nchini England aliyefata nyayo hizo mpaka sasa.


Luke Shaw ajibu tuhuma za ushoga, asema hivi Luke Shaw ajibu tuhuma za ushoga, asema hivi Reviewed by Steve on Monday, October 26, 2015 Rating: 5

No comments:

Propellerads
Powered by Blogger.