Propellerads

Liverpool yabanwa nyumbani Europa.




Licha ya kuwa nyumbani, Liverpool imeambulia sare ya
bao 1-1 dhidi ya timu kibonde ya Sion.
Mechi hiyo ni ya michuano ya Europa League na Liverpool iliyo nyumbani ndiyo ilitangulia kupata bao kabla ya kuwaruhusu wenyeji kusawazisha.

Adam Lallana alianza kuifungia Liverpool katika dakika ya katika dakika ya tano baada ya kupokea pasi ya Divock Origi.
Lakini Sion ikasawazisha katika dakika ya 18 kwa kazi nzuri ya Abenezer Assifu aliyekimbia na mpira kabla ya kufunga kwa ulaini.

Hata katika Ligi Kuu England, bado Liverpool imekuwa na mwendo wa kusuasua.
Liverpool yabanwa nyumbani Europa. Liverpool yabanwa nyumbani Europa. Reviewed by Steve on Friday, October 02, 2015 Rating: 5

No comments:

Propellerads
Powered by Blogger.