Propellerads

Ferguson ametaja magoli kipa wake wawili bora duniani

                  

Kocha wa zamani wa Manchester United, Sir Alex Ferguson
ametaja majina mawili ya ambao anadhani kua ni walinda milango bora zaidi duniani.

Mskochi huyo ambaye amepata kufanya kazi na makipa bora wengi wakati wake Man United ambapo amemkubali zaidi David De Gea huku akidhani yuko kiwango sawa na Manuel Neuer wa Bayern Munich.

"Neuer na De Gea ni magoli kipa bora zaidi ulimwenguni" Fergie aliliambia chapisho moja la Ujerumani liitwalo Kicker.

"Una (Lionel) Messi na (Cristiano) Ronaldo kama wachezaji wakali pia kuna Neuer na De Gea kama makipa walio sawa." alimaliza babu huyo.


Ferguson ametaja magoli kipa wake wawili bora duniani Ferguson ametaja magoli kipa wake wawili bora duniani Reviewed by Steve on Tuesday, October 13, 2015 Rating: 5

No comments:

Propellerads
Powered by Blogger.