Mzimbabwe wa Simba afunguka baada ya kusaini miwili
Mshambuliaji Mzimbabwe, Justice Majabvi amesajiliwa mkataba wa miaka
miwili kuichezea Simba na kusema, anajiamini.
Majabvi amesema anaamini usajili wake Simba utakuwa na matunda kwa kuwa anaamini uwezo wake pia kikosi cha Simba.
“Simba ni timu bora kabisa, nimekaa siku chache hapa lakini nimeona kuna mengi ya kujifunza, pia ni kikosi chenye ushindani mkubwa kwa kuwa kimejaza wachezaji wenye vipaji.
“Ninaamini tutashirikiana vizuri na kuisaidia Simba, najiamini. Pia ninawaamini wenzangu,” alisema.
Mzimbabwe huyo alisaini mkataba wake huo mbele ya msemaji wa Simba, Haji Manara.
Mzimbabwe wa Simba afunguka baada ya kusaini miwili
Reviewed by Steve
on
Thursday, August 13, 2015
Rating:
Reviewed by Steve
on
Thursday, August 13, 2015
Rating:




No comments:
Post a Comment