Man United wameripotiwa kumtengea dau nono Muller
Kwa mujibu wa ripoti, Manchester United wamewapa
Bayern Munich ofa ya pauni mil 50 ili kumleta nyota Thomas Muller Old Trafford.
Kwa mujibu wa Kicker, Red Devils wana matumaini makubwa kua kiasi hicho kitatosha kabisa Bayern kumwachia nyota huyo aondoke.
Muller amepata kufunga magoli 121 kwenye mechi 304 na wakali hao wa Bavaria.
Man United wameripotiwa kumtengea dau nono Muller
Reviewed by Steve
on
Friday, August 14, 2015
Rating:
Reviewed by Steve
on
Friday, August 14, 2015
Rating:




No comments:
Post a Comment