Propellerads

Maguri atua klabu hii baada ya kutemwa Msimbazi



Mshambuliaji aliyetembwa Simba, Elius Maguri ametua
rasmi Stand United.

Maguri amejiunga na Stand United kwa mkataba wa miaka miwili akiwa mchezaji huru.

Mshambuliaji huyo ameachwa na Simba kwa madai kuwa Kocha Dylan Kerr ameonyesha kutoridhishwa na kiwango chake.
Maguri atua klabu hii baada ya kutemwa Msimbazi Maguri atua klabu hii baada ya kutemwa Msimbazi Reviewed by Steve on Thursday, August 20, 2015 Rating: 5

No comments:

Propellerads
Powered by Blogger.