Propellerads

Magazeti ya Uingereza yameamka na hizi kuhusu Bale, Berahino



Leo nakuletea kurasa za juu kabisa kwenye magazeti ya Uingereza
zinazohusu soka

DAILY STAR: Chesea wanajiandaa kutumia pauni 100 mil kuwanasa kwa mpigo Pogba na John Stones.
Pia; Beki mpya wa Man City, Nicolas Otamendi ametoa onyo juu ya ubingwa mwaka huu kwa Chelsea.

DAILY MAIL: Kocha Louis van Gaal anajipanga tena kumleta Gareth Bale kutoka Real madrid.

THE SUN: Wakala wa David De Gea, Jorge Mendes anataka kukamilisha swala la uhamisho wa De Gea Real madrid.
Pia; Mshambuliaji wa West Brom,  Saido Berahinho anajiandaa kutua Tottenham kwa dau la pauni 20mil.

DAILY EXPRESS: Jay Rodriguez amefunga bao la kusawazisha dhidi ya FC Midtjylland hivyo kuweka matumaini Southampton kucheza Europa.

DAILY MIRROR: Mkali wa Sunderland,  Jermain Defoe  amesisitiza kwamba bado ana ofa za kutosha ndani ya Premier League.
Magazeti ya Uingereza yameamka na hizi kuhusu Bale, Berahino Magazeti ya Uingereza yameamka na hizi kuhusu Bale, Berahino Reviewed by Steve on Friday, August 21, 2015 Rating: 5

No comments:

Propellerads
Powered by Blogger.